Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Dr. Yamungu Kayandabila akifungua mkutano mkuu wa chama cha wakulima Tanganyika,TFA

 

Wanachama wa TFA wakifuatilia kwa umakini mkutano mkuu wa mwaka 2020

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TFA, Bw. Peter Sirikwa akiendesha mkutano mkuu wa  wanachama TFA